WAZIRI SIMBACHAWENE AJITOLEA KUMSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU MPWAPWA, AAHIDI KUWALEA NA KUWASOMESHA WATOTO HAO
Mwambawahabari
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene
akiwaangalia watoto mapacha watatu waliozaliwa Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa, Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mama Mzazi wa watoto hao, Mariam Jonas. Simbachawene ameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kushoto), akiagana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mpwawa, Dkt Hamza Mkingule, baada ya kufika hospitali hapo kuwaangalia watoto mapacha watatu waliozaliwa katika Hospitali hiyo, Mjini humo Mkoani Dodoma. Simbachaweneameahidi kuwahudumia mapacha hao mpaka watakapo kuwa watu wazima. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Strange "water hack" burns 2 lbs overnight
ReplyDeleteMore than 160k women and men are using a simple and SECRET "liquids hack" to lose 1-2lbs each night in their sleep.
It is scientific and it works with everybody.
Here's how to do it yourself:
1) Take a clear glass and fill it half full
2) Proceed to learn this crazy HACK
so you'll become 1-2lbs lighter the next day!