MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020. Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakitambulishwa na kuwakaribisha rasmi viongozi waandamizi kutoka vyama vya upinzani walioamua kujiunga na CCM wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho tawala katika Ofisi zake Ndogo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020. Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, anayefuatiwa na aliyekuwa Naibu Meya wa jiji la Mbeya Bw. Fanuel Kyanula pamoja na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula anayefuatiwa na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020.
As stated by Stanford Medical, It is indeed the ONLY reason this country's women get to live 10 years longer and weigh 42 pounds lighter than us.
ReplyDelete(And actually, it is not about genetics or some secret exercise and absolutely EVERYTHING about "HOW" they are eating.)
P.S, What I said is "HOW", not "what"...
CLICK this link to discover if this little questionnaire can help you decipher your true weight loss potential