NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA.
Mwambawahabari
Na. John Luhende
Hakuna ukombozi wa kiuchumi kama unaopatika katika vikundi vya kuweka na kukopa pamoja na Vikoba, hasa katika watu wa maisha ya chini.
Kauli hiyo
imetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa kata ya
Vingunguti Omary Said. Kumbilamoto alipokuwa mgeni rasmi katika kikundi cha vikoba cha Mkombozi Trust Fund, Cha jijini Dar es
salaam,ambapo amewasisitiza wanakikundi hao
kuchangamkia fursa za mikopo ya Halmashauri inayotolewa bila riba.
‘’Sisi kama
Halmashauri tarehe 6 Januari mwaka 2019, itakuwandiyo mwisho wa
kupokea vikundi vyote vilivyoomba kupewa
mikopo ,tarehe 7 wataalamu watakaa kupitisha mikopo yote iliyoombwa ,mwamko
bado ni mdogo naomba tusii acheipite
fursa hii”Alisema
Aidha
Kumbilamoto ametoa pongezi kwa makundi ya wanawake kwa kuwa na mwamko wa
kuchangamkia fursa za mikopo huku akitoa changamotokwa vijana wa kiume kuacha utegemezi kwa akinamama
badala yake wajitume kufanya kazi
kwabidii.
‘’Nimeangalia
uchukuaji wa mikopo na kuona akaimama wamefanya vizuri lakini tatizo liko kwa vijana wakiume sasa
sijui wameridhika na kupiga mizinga? ama kulelewa na akina mama? Vijana fanyeni
kazi acheni utegemezi”Alisema.
Akijibu
Risala ya Kikundi hicho Kumbilamoto amesema atakisaidia kikundi hicho kupata
Viti na Mizani, japo hakutaja lini atawapatia lakini amesema changamoto hizo
amezichukua nakuahidi kushirikiana na kikundi hicho kukabili changamoto hizo.
Pamojana
hayo Kmbilamoto amewahamasisha wananchi wakata ya Vingunguti kujiandaa kwa
Machinji ya kisasa inayotarajiwa kujengwa na serikali ambapo amesema itaongeza
fursa za kiuchumi .
‘’Huwezi
kuwa na machijio ya kisasa ukakosa kuwa nakiwand cha kutengeza Soseji hizo
nifursa wengine mtapika chakula ,pia tuna ene la pembeni ni la halmashauri
tunaweza kuweka biashara nyingine na akiama mama wanaonyeshewa mvua pale nje
nao tutawajengea ili waboreshe biashara
zao pia changamkiaeni vitambulisho vya ujasiliamali ambavyo amevitoa Rais ”Alisema
Kwaupande
wake Mwenyekiti wa kikundi cha mkombozi Trust Fund ,amesema baada ya sheri za
fedha kubadilika na kutakiwa usaji
wanaendelea na hatua za usajili ambapo ,nakuelezam kuwa tayari
wanawanachama zaidi ya miatatu na ndani ya mwaka wameweza kutomikopo ya
shilingi million 20.
Masema
pamoja na Mafanikio waliyopata wanachangamoto ya wananchama kurejesha kurejesha
mikopo, hawana izani ya kupima bidhaa wanazo uzia wao kwa wao,na wanaupungufu
wa viti vya kukalia.
Pamoja na
hayo wamemshukuru kwa moyo wake wa kujitoa na kusaidia jamii ikiwemo kikundi chao.
‘’Hakuna
Diwani aliye wahi kununua Abullance kwa wananchi wake ispo kuwa
Kumbilamoto huyu ni kiongozi anaye jali watu wake ‘’Alisema

Post a Comment