YANGA KIBARUANI KUMKABILI MBAO TAIFA.
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa viwanja 6 kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali hapa nchini.
Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria kwa kutwaa ubingwa huo mara 27 watakuwa Uwanja wa Taifa kuwakaribisha Mbao FC ya jijini Mwanza.
Michezo mengine ni Biashara United vs Mwadui FC,
JKT Tanzania vs Alliance Schools,
Azam FC vs Coastal Union.

Post a Comment