Ads

KUTUPATAKACHINI UKIWA KARIAKOO UAMUWE WEWE MWENYEWE , MAPIPA KIBAO YAMESAMABAZWA LEO.

Shailla Edward Lukuba, Katibu tawala Wilaya ya Ilala Akizunguza na vyombo vya habari leo katika mtaa wa Msimbazi baada ya zoezi la kufunga Mapipa ya kuhifadhia taka. (Picha na John Luhende) 

Na. John Luhende
Mwambawahabari
Wanachi wa Wilaya ya Ilala wametakiwa kudumisha usafi na kutunza mazingira ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kipundupindu.


Witohuo umetolewa leo na Katibu tawala wa Wilaya ya Ilala Shailla Edward Lukuba alipokuwa katika zoezi la usafi lililoambatana na ufungazi wa mapipa ya taka (Dustbin  ) katika mtaa wa Msimbazi ambao unapilipilika nyingi, na kuongeza kuwa usafi ni agizo la Rais Dkt John Pombe Magufuli.

"Zoezi la usafi ni endelevu mnamo Desemba 9/2018 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli a lioness mfano yeye mwenyewe na kuagiza kila Jumamos ya Mwisho wa mwezi kufanyika usafi nchi nzima na sisi Wasaidizi wake  tunapaswa kulisimamia hili ndiyo maana leo tupo hapa tunaomba wananchi tufungwe mkono zoezi hili " alisema.

Katika zoezi hilo jumla ya  mapipa ya kuhifadhia taka 20 kwaajili ya wapitanjiakutupia taka ili kupunguza uchafu na kuhifadhi mazingira katika eneo hilo.

Kwa upande wake mkuu wa idara ya mazingira na uhifadhi wa taka Ngumu Adon Mapunda,  amesema kufungwa kwa mapipa hayo wanatarajiwa kupunguza usumbufu kwa wananchi wanaofanya shughuli zao na wanaopita katika maeneo hayo.

Mapunda amesema mapipa hayo ya tatu mi ka kutupataka aina ya Karatasi, vocha, Chupaza maji, na taka nyingine nyepesi.

"Naomba wote tulio wakabidhi mapipa haya Muyatunze na kuyalinda tafadhali ya situmike kumwaga taka za majimaji, wauza matunda na Mamalishe ni marufuku kutupataka zao katika mapipa haya,  wao wawe kekatika magari wakandarasi wanavyo magari yanayo kuanza taka, atakayetupa taka hovyo atachukuliwa hatua za kisheria "alisema

Nao baadhi ya wamiliki na wanafanya biashara katika maeneo yaliyofungwa vyombo hivyo wamehaidi kuvitunza na kuvisimamia ilikusudi vitimize lengo na kusaidi lake.

No comments