MWENYEKITI CCM AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI HOSPITALI YA TEMEKE.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akimjulia hali majeruni wa
ajali ya pikipiki katika Hospita ya Rufaa Temeke, wengine ni viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki
Wilaya ya Temeke.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akimpa zawadi majeruni wa
ajali ya pikipiki katika Hospita ya Rufaa ya Temeke, wengine ni viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki
Wilaya ya Temeke.
Viongozi na
wana chama wa chama cha wamiliki na
Madereva wa Pikipiki Wilaya ya Temeke
wakiwaombea duwa majeruhi waliolazwa wodini katika hospital ya Temeke.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akiwa na viongozi wa CMPD Temeke wakisubiri kuingia wodini kwa ona majeruhi wa Pikipiki katika Hospitali ya Mko Temeke.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya
Temeke Almishi Hazali, watatu kutoka kushoto rangi alivaa nguo nyeupe na nyeusi ni Afisa afya mkuu wa Hospital ya Temeke Judith Nyamboka,wakwanza upande wa kulia mwenye shatinyeupe ni mjumbe wa mkutano mkuu CCM, Joseph Yona , w engine ni viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki
Wilaya ya Temeke.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki
Wilaya ya Temeke aliye karibu na mwenyekiti aliye vaa nguo nyeusi na rangi nyeupe ni Afisa afya mkuu wa Hospital ya Temeke Judith Nyamboka.(Picha zote na John Luhende)
Na.John
Luhende
Mwamba wa habari
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, amewangoza chama cha
wamiliki na Madereva wa Pikipiki Mkoa wa Dar es salaam CMPD, Wilaya ya Temeke kuwaona na kuwapa msaada wagonjwa
majeruhi walipata ajali za pikipiki
waliolazwa katika hospitali ya Rufaa ya Temeke kwaajili matibabu.
Akizunguza hopitalini hapo Hazali ameupongeza uongozi wa Hospitali hiyo kwa
huduma nzuri wanazozitoa kwa wagonjwa , na kuwataka wamiliki na madereva kuwa na moyo huo wa kujitoa nakuwataka
kuendesha mafunzo kwa kilakata ili Temeke iwe na umaoja unaojulikana na
kuaminika na Jeshi la Polisi.
“Kwanza
namshukuru sana Mungu kwa ziara hii ya
leo imenifanya nijifunze mengi hususani katika mambo haya ya Boda boda , kwamba kuna mambo ambayo nimkero wengine
hawavai Helmet,hawavai viatu wanavaa sendos yote haya tumeweza kuzungumza na
kuptia mafunzo haya watakuwa walimu kwa wenzao”alisema
Kwa upande
wake Afisa Afya mkuu wa hospitali ya Temeke Judith
Nyamboka, ameshukuru ujio wa kundi hilo
na kuwaomba siku nyigine waweze kurudi kutoa misaada na wamewaomba wajitolee damu kwani majeruhi
wengi wanahitaji damu ili iweze kuwa saidia na kuokoa uhai wao.
‘’Kwaniaba
ya uongozi wa hospitali na washukuru sana kwa kujali wagonjwa wa Temeke kwani mngeweza kwenda hata
hospitali nyingine ila mmeona Temeke
Mungu awajalie , nawaomba pia nviongozi mje tupange namna mtakavyo weza
kutusaidia mjitolee damu wenzenu wanapata shida na damu ahaiuzwi” alisema
Naye
mwentekiti wa chama cha wamiliki na madereva wa pikipiki mkoa wa Dar es
salaam Wilaya ya Temeke Said Salum
Milanzi, amewataka madereva kushikamana wasije kuyumbishwa kawani kuanawatu
hawananianjema wanaweza kuwa tawanya, huku akiwakumbusha kuyafanya kawa vitendo
mabo yote waliyo gfundishwa katika mafumnzo hayo ilikupunguza ajali.
Nao majeruhi wa walipata msaada huo
wamemshukuru Mhe.Almishi na viongozi
alioambatana nao kutoa msaada huo na kwaombea kwa Mungu ili waweze kuzidishi
walipopungukiwa na wasiwasahau wagonjwa maana hali hiyo hawakuiomba bali
imetokea tu.







Post a Comment