TPB PLC NA TWB ZAUNGA NA KUWA BANK MOJA

Mwamba wa habari
Ofisa
Mtenda Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sababa Moshingi,(kushoto) akizungumza
na waandishi wa habari hawapo pichani Dar es Salaam juzi baada ya Benki
kuu kuamua kuziunganisha Beki ya wanawake Tanzania TWB nakuwa benki
moja.katikati ni Mkurugenzi wa mpango mkakati Muondakweli Kaniki,na
kulia ni Mwanasheria wa Benki ya (TPB)Mystica Mapunda Ngongi.Picha na
Prona Mumwi.

Post a Comment