TPB YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE
Meneja Uendeshaji wa Tawi la Benki ya TPB plc lililopo Posta tawi la Ywc Branch, Salma Marijani (katikati) akimkabidhi Paulina Albert, zawadi mbalimbali ikiwemo picha ya ukutani katika kusherehekea Wiki ya Asante Mteja na Wateja wa Tawi hilo. Kushoto ni Meneja Mwandamizi Idara ya Masoko na Ukuzaji wa Biashara, Frank Mushi (kulia) ni Msimamizi Huduma kwa Wateja, Gloria Mutta. Picha na Prona Mumwi
eneja Mwandamizi Idara ya Masoko na Ukuzaji wa Biashara, Frank Mushi wa Benki ya (TPB) akizungumza na waandishi wahabari hawapo pichani mwishoni mwa wiki katika Wiki ya Asante Mteja na Wateja wa Tawi hilo la Ywc Branch lililopo Posta Dar es Salaam
Post a Comment