Ads

SIMBA WAENDELEA KUJIFUA NCHINI UTURUKI

 Wachezaji wa Simba wakiwa katika mazoezi nchini uturuki.
 Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazoezi.
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya kuruka.
NA NOEL RUKANUGA.
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba  Mbelgiji, Patrick Aussems ameendelea kukinoa kikosi hicho ambacho kimeweka kambi nchini uturuki.

Simba wameendelea kujifua katika jiji la Instabul nchini humo kikiwa na wachezaji wengi wapya ili kupata utulivu wa mazoezi kabla ya kurejea Dar es Salaam.


No comments