BANK YA TPB YASADIA ASKARI WASTAAFU, NA WANARIADHA
Meneja Mawasiliano wa Benki ya TPB, Bi. Chichi Banda (kulia)
akikabidhi mfano wa hundi ya sh milioni 1 kwa Mratibu wa Mbio za Bagamoyo, Bi.
Huneyna Mattala kwa ajili ya matayarisho ya mbio hizo zitakazofanyika mwishoni
mwa mwezi huu mjini Bagamoyo - Pwan
Mkurugenzi wa Mikopo wa benki ya TPB Bw. Henry Bwogi akizungumza na wanajeshi wastaafu katika mkutano mkuu wa shirikisho la wanajeshi wastaafu hao jijini Arusha.
Meneja wa Benki ya TPB kutoka Tawi la Arusha Bw. Ayubu Mkwawa
akizungumza na wanajeshi wastaafu katika mkutano mkuu wa shirikisho la
wanajeshi wastaafu hao jijini Arusha.
i.




Post a Comment