SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWL. MCHUNGAJI MWAKASEGE OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege (kulia) alipomtembelea
leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Ndg. Diana Mwakasege (kulia) ambae ni mke wa Mwalimu Mchungaji
Christopher Mwakasege walipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini
kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege
Spika wa Bunge,
Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mhe. Anna Lupembe (aliesimama) pale
ugeni ulioongozwa na Mwalimu na Mchungaji Christopher Mwakasege (wa tatu kulia)
alieambatana na Mke wake Ndg. Daina Mwakasege (wa pili kulia) walipomtembelea
leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, Ndg. John
Shibuda (kulia) alipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa Msafara Mwalimu na Mchungaji Christopher
Mwakasege (katikati) ambae pia anatoa huduma ya Mana pamoja na Mke wake Ndg.
Daina Mwakasege (wa pili kulia) walipomtembelea leo Tarehe 4 Mei, 2018 Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
(PICHA
NA DEONISIUS SIMBA, OFISI YA BUNGE)
Post a Comment