PICHA: SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA NCHINI GABON LEO MJINI DODOMA.
Mwambawahabari
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana
na mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda Maalum ya kiuchumi nchini Gabon,
Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Kata ya kivukoni,
Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Ndg. Sharik Choughule
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda Maalum ya kiuchumi
nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati) alieongozana na Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM)Kata ya kivukoni, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam
Ndg. Sharik Choughule (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda Maalum ya kiuchumi
nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati) alieongozana na Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya kivukoni, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es
Salaam Ndg. Sharik Choughule (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
Post a Comment