SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) walipokutana leo katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
PICHA NA OFISI YA BUNGE
Post a Comment