MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA .
Mwambawahabari

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya UbungoLucas Mgonja akizungumza na viongozi wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa ndani uliofanyika jana katika Kata ya Msigani wilayani humo, ikiwa ni sehemmu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa Chama. Kushoto ni Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akishauriana jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally wakati wa kikao hicho

Katibu wa UVCCM Kata ya Msigani Reinhard Chicano akisalimia baada ya kutambulishwa

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Msigani Godlove Mondo akifungua kikao hicho

Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Ubungo Mbarouk Masoud akifanya utambulisho wa viongozi waliofuatana na Mwenyekiti Mgonja kwenye kikao hicho

Wajumbe kwenye kikao hicho wakishangilia jambo kuliunga mkono.

Diwani wa CCM Kata ya Manzese Manumbu Magafu akisalimia katika kikao hicho

Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa, akiimba wimbo wa hamasa alipopewa nafasi ya kusalimia

Wajumbe wakiwa wamesimama kuimba wimbo huo

Mbunge wa Mbinga Vijijini ambaye pia ni Mweneyekiti wa Mtaa wa Msingwa Kata ya Msigani Martin Msuha akisalimia

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na kamati ya Siasa mkoa wa Dar es Salaam Issa Mtemvu akisalimia kwenye kikao hicho
katibu wa CCM wilaya ya Ubungo Salum Kally akiimbisha wimbo wa hamasa kwenye kikao hicho

katibu wa CCM wilaya ya Ubungo Salum Kally akiimbisha wimbo wa hamasa kwenye kikao hicho

Viongozi wa meza kuu wakishiriki kuimba wimbo huo wa hamasa.

Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo akihutubia kikao hicho kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti Mgonja kuhutubia.
Mgonja akihutubia.


Mgonja akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa Chadema Gatto John, ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho

Mgonja akimpa kadi ya CCM

Gatto akionyesha kadi ya CCM baada ya kukabiodhiwa

Mgonja akimpokea kadi kutoka kwa aliyekuwa katibu Mwenezi wa Chadema Kata ya msigani Kerned Odera baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho

Mgonja akimpokea kadi kutoka kwa aliyekuwa katibu Mwekiti wa Chadema Tawi la Msigani Benedict Mumbi baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati wa kikao hicho

Waliokuwa wanachama wa Chadema wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi za CCM

Kinamama wajasiriamali wakishangilia wakati wakipeleka zawadi na kujinadi kwa viongozi wa meza kuu kuhusu shughuli zao

Kiongozi wa Kinamama hao akitoa maelezo

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akikabidhiwa zawadi kutoka kwa Kinamama hao wajasiriamali

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akitazama bidhaa za kinamama wajasiriamali waliozkuwa wakionyesha nje ya ukumbi

Mgonja akinunua bidhaa kwa kinamama hao wajasiriamali

Mwenyekiti wa CCM Lucas Mgonja akiwa na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mbezi Othman Shaibu baada ya kuwasili katika kata hiyo kuendelea na ziara yake.

Wajumbe wakiwa wamesheheni ukumbini kwenye mkutano huo wa Kata ya Mbezi

Wakiomba dua kabla ya kikao kuanza
Baadhi ya vijana wa CCM waliofika kwenye kikao hicho Mbezi
Baadhi ya vijana waliofika kwenye kikao hicho wakiwa nje ya ukumbi kwa kuwa siyo wajumbe.
Vijana wakipata chakula nje ya ukumbi
Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Salum Kally akimkaribisha Mwenyekiti kuzungumza kwenye kikao hicho cha kata ya Mbezi
Baadhi ya wajumbe ukumbini
Mwenyekiyi wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akihutubia wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika Kata ya Mbezi Wilayani humo jana.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Post a Comment