Ads

RC KILIMANJARO,ANNA MGWIRA ATANGAZA RASMI KUHAMIA CCM.

Mwambawahabari
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwira baada ya kutangaza rasmi kuhamia Chama cha Mapinduzi, katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete, mjini Dodoma Desemba 8, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments