Ads

FIFA YATANGAZA MAKUNDI FAINALI ZA K0MBE LA DUNIA 2018

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA)  limetangaza orodha ya timu zitakazochuana katika ngazi ya makundi katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 zitakalofanyika Nchini Qatar. 
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa mubashara usiku huu kupitia mtandao wa kisoka wa 'Live Score'.. Wababe wa michuano hiyo Uspain na Ureno zimepangwa kundi B linalojumuisha timu za Morocco na Iran.. Huku vibonde Costa Rica ikiangukia kundi E kukwaana na washindi mara nyingi wa michuano hiyo Timu ya Brazil.. kundi hilo pia linajumuisha Nchi za Serbia na Switzerland.. Matukio360 imeshuhudia upangwaji wa makundi hayo na hii hapa ndio orodha kamili..

Group A.
🇷🇺Russia 🇨🇭Switzerland 🇾🇪Egypt 🇦🇺Australia

Group B.
🇧🇷Brazil 🇨🇷Costa Rica 🇭🇷Croatia 🇯🇵Japan

Group C
 ðŸ‡®ðŸ‡©Poland 🇨🇴Colombia 🇷🇸Serbia 🇮🇷Iran

Group D.
🇵🇹Portugal 🇯🇵Korea 🇪🇸Spain 🇨🇲Senegal 

Group E.
🇧🇪Belgium 🇮🇸Iceland 🇵🇪Peru 🇵🇦Panama 

Group F.
🇩🇪Germany 🇩🇰Denmark 🇬🇷Uruguay 🇳🇬Nigeria 

Group G.
 ðŸ‡¦ðŸ‡·Argentina 🇲🇦Morocco 🇲🇽Mexico 🇸🇪Sweden 

Group H.
🇫🇷France 🇹🇳Tunisia 🇸🇦Saudi Arabia 🇽🇪England

No comments