DIWANI MTARAWANJE AWAHAKIKISHIA WANANCHI WA KIJICHI KUWATUMIKIA KIKAMILIFU.
Mwambawahabari
Diwani
wa Kijichi, Eliasa Mtarawanje akilakiapo cha udiwani katika baraza la madiwani
la Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Na
Maria Kaira,Mwambawahabari
Diwani
wa Kata ya Kijichi Eliasa Mtarawanje amewahakikishia wananchi wa kata hiyo
kuwatumikia kikamilifu kwa kufata sheria na taratibu kwa lengo la kuwaletea
maendeleo ndani ya kata hiyo.
Akizungumza
na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa udiwani wake katika baraza la
madiwani la Manispaa ya Temeke Mtarawanje ametoa wito kwa wananchi wa Kijichi
kushirikiana katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo mbali mbali kwenye kaa
hiyo.
“Napenda
kuwashukuru wananchi wote wa kata yangu kwa kunichagua naomba tushirikiane
katika kuleta maendeleo ya kata yetu mimi peke yangu sitoweza bila nyinyi”amesema
Mtarawanje amesema kuwa kijichi kunamiradi mbalimbali kilichobaki ni kuisimamia vizuri ili wananchi waweze kupata huduma iliyo bora zitokana na miradi hiyo.
Mtarawanje amesema kuwa kijichi kunamiradi mbalimbali kilichobaki ni kuisimamia vizuri ili wananchi waweze kupata huduma iliyo bora zitokana na miradi hiyo.



Post a Comment