Ads

Timu ya mpira wa miguu ya Albino United jijini Dar es Salaam yatembelea Mikumi.

Timu ya mpira wa miguu ya Albino United jijini Dar es Salaam majuzi ilipata fursa ya kutembelea hifadhi ya Mikumi na kujionea vivutio kibao vya kitalii katika ziara iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kama njia mojawapo ya kupromoti utalii wa ndani.

Picha na Augustina Makoye wa TTB.

No comments