Ads

NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AWASHUKURU WADAU, AZINDUA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2018


Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,
leo wakati akitangaza rasmi kuzindua Tamasha la 'Tulia Traditional
Dances Festival 2018' linalofanyika kila mwaka Wilayani Rungwe Mkoani
Mbeya, pamoja na kuwashukuru wadhamini waliofanikisha Tamasha
lililofanyika Mwezi Septemba mwaka huu Tukuyu. Katikati ni Kaimu
Mkurugenzi wa Utamaduni, Lilly Beleko, aliyemwakilisha Naibu Waziri wa
Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo (kulia) ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Air Tanzania, Ladislaus Matindi. Picha na Muhidin Sufiani

No comments