Ads

Heri ya Kuzaliwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Mwambawahabari 

Siku kama ya leo, Oktoba 29, 1959, Rais John Pombe Magufuli alizaliwa. 

Mwambawahabari Blog inakutakia  heri ya siku ya kuzaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde, akupe afya njema na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi cha uongozi wako.

No comments