Ads

WALIMU WA SAYANSI LINDI WAIOMBA SERIKALI KUWASAIDIA

Mwambawahabari

1
Mhandisi kutoka Wizara yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (SektayaUjenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wawanawake katika masuala ya barabara, Bi. Liberatha Alphonce,akionesha mfano wa picha iliyochorwa kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mchinga mkoani Lindi (hawapopichani), ili kuhamasisha wanafunzi kupenda masomo ya sayansi.
2
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mchinga mkoani Lindi, wakimsikiliza Mhandisi kutoka Wizara yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara, Bi. Liberatha Alphonce (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu uhamasishaji wa masomo ya Sayansi kwa wasichana.
3
Wahandisi wa kike kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara, wakisikiliza maoni kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mchinga mkoani Lindi walipotembelea shule hiyo kuhamasisha usomaji wa masomo ya Sayansi kwa wasichana.
4
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mchinga mkoani Lindi,wakionesha ndoto zao kwa Wahandisi wa kike kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara,walipotembelea shule hiyo kuhamasisha usomaji wa masomo ya Sayansi kwa wasichana.
5
Wahandisi wa kike kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa  wanawake katika masuala ya barabara, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya walimu pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mchinga mkoani Lindi.
6
Mwanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Lindi, akitoa maoni yake kuhusu changamoto zinazokabili shule yao kwa Wahandisiwa kike kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara.
7
Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara, Bi. Rahma Mwinyi, akigawa zawadi ya madaftri kwa wanafunzi wa shule ya Mkonge mkoani Lindi ili kuhamasisha wanafunzi hao kupenda masomo ya sayansi.
……………………
WalimuwamasomoyaSayansi mkoaniLindiwameiombaSerikalikuchukuahatuazaharakazakuandaanakuimarishamiundombinu bora kwashulezaSekondarizinazofundishamasomohayoilikuendelezanakufufuavipajivyawanafunzi.
Akizungumzakwaniabayawalimuhaowakatiwaziarailiyofanywanawahandisiwa kike kutokaWizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), kupitiaKitengomaalum cha ushirikishwajiwawanawakekatikamasualayabarabarakatikashulezamkoahuo,   MwalimuMkuuwaShuleyaSekondariyaMchingailiyopo  mkoanihumo, Bw. MakopaSelemani , amesisitizakwaSerikalikuonanamnayakujengamaabara  nyingizasayansiambazozitakuwanavifaanakuongezawalimuwaSayansiambaowameonekanakuwaniwachachekatikamkoahuo.
“TunaiombaSerikalikutazamakwajicho la pekeeshulezamkoahuuhususanzenyemichepuoyasayansikwanisikwambawanafunzihawapendimasomohayabalimiundombinuhairidhishi”, amesemaMwalimuMkuu.
Aidha, MwalimuMkuuameongezakuwailikuwasaidiawanafunziwa kike katikamkoahuoserikaliiwajengeemabweniwanafunzihaoilikuepushakupatavishawishi kwaniwengiwaowanaishimbalinashule.
MwalimuMkuuSelemani, ameelezeabaadhiyamikakatiyashuleyakekatikakuhamasishawanafunziwa kike kusomamasomoyasayansiikiwemokufanyavikaovyamarakwamaranawanafunzihaoilikujadilichangamotozaonakuzitatua.
AmetoawitokwaWizarakufanyaziarazamarakwamarakatikashulembalimbalinchiniilikuhamasishawanafunzihusasanwa kike kupendanakujifunzamasomoyasayansiambayoyameonekanakuwanivikwazokatikamkoahuo.
Kwaupande wake, MhandisikutokaWizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), kupitiaKitengomaalum cha ushirikishwajiwawanawakekatikamasualayabarabara, Bi Liberatha  Alphonce,  amewasisitizawanafunzi  wa kike mkoanihumokuanzakujitumanakujijengeamisingiimarayakupendamasomoyasayansiwakiwakatikangazizaawaliilikufikiamalengoyao.
AmefafanuakuwamasomoyaSayansiyanatoafursazakujiajirinaurahisiwakupatamikopokwawanafunziwanaochaguliwakujiunganaelimuyajuu.
Naye,mwanafunziShamiraSalum, kutokashuleya SekondariyaMchinga, ameiombaserikalikuongezawalimunavifaakatikashulezamkoahuoilikuwezakutimizamalengoyaoyakuwawahandisinamadaktariwabaadae.
Ziarayawahandisiwa kikekutokaWizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), kupitiaKitengomaalumcha ushirikishwajiwawanawakekatikamasualayabarabaraimelengakutoaelimunakuhamasishawanafunziwa kike nchinikusomamasomoyasayansiambapopamojana mambo menginewahandisihaowametembeleashuleyasekondariyaMchinga, Lindi, MkongenaMingoyoambazozipomkoaniLindi.
ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini, WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano

No comments