WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI
Mwambawahabari
Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda
ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya akiwa katika mkutano na waandishi wa habari
akizungumzia tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake
yanavyoweza ufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma.
Afisa Ardhi Mwandamizi kutoka
Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo Bi.Jane Kapongo akifafanua jambo kwa
waandishi wahabari (hawapopichani) juu ya Hati za Kimila kutumika kama
dhama na katika Taasisi za Kifedha Nchini leo Mjini Dodoma.
MsajiliwaHatikutokaWizarayaArdhi,NyumbanaMaendeleoyaMakaziBw.GeofreyMauyaakizungumzanawaandishiwahabarijuuyataratibumbalimbalizahatinajinsiyakuzipatakatikamkutanonawaandishiwahabariMjini
Dodoma.
KamishnaMsaidiziwaArdhi Kanda ya
Kati
Bw,HezekielyKitilyaakisisitizajambokwawaandishiwajuuyatathminiyaulipajikodiyapango
la
ardhinaMalipoyakeyanavyowezakufanyikakwamfumompyawakielektronikileomjini
Dodoma.
PichanaDaudiManongi,MAELEZO,DODOMA.
Post a Comment