Ads

KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA


loz7
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiagana na BALOZI WA Umoja wa Ulaya  nchini mhe. Van De Geer Roeland baada ya kukutana na kufanya mazungumzo   na timu yake. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Katibu Mkuu Prof Mchome mjini Dodoma. Katika kikao hicho suala la upatikanaji wa haki kwa watu wote nchini hususan watu wasio na uwezo lilijadiliwa ikiwa ni pamoja na kuimarisha na kuboresha mahusiano mazuri baina ya Wizara na Umoja wa Ulaya.

No comments