UZINDUZI WA JENGO LA MAHKAMA YA WATOTO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria
uzinduzi wa Mahkama ya Watoto iliyopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B
Unguja leo (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu.

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu
(kulia) wakati alipotembelea jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda
Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo baada ya kulizindua rasmi,.

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (katikati) wakitoka nje
ya Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini
B,Unguja baada ya kulizindua rasmi leo.

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu wakiteta jambo wakati wa
uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya
Kaskazini B,Unguja uliofanyika rasmi leo.
Wanafunzi
wa Skuli ya Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja ni miongoni mwa
wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Mahkama ya
Watoto,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa mgeni rasm.
Watoto wa
Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja wakiwa katika sherehe za
uzinduzi wa Mahkama ya Watoto ambapo imezuliwa leo na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Baadhi ya
Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa Mahkama
ya Watoto,Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini
B,Unguja,iliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia)akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu
alipowasili katika sherehe ya uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto
liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia)akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali
Suleiman (katikati)alipowasili katika sherehe ya uzinduzi wa Jengo la
Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja
leo,(kushoto) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
Mhe,Moudline Cyrys Castico,[Picha na Ikulu.] 07/02/2017.
Post a Comment