DK. SHEIN AZINDUA SKULI YA SEKONDARI KWARARA 2
Chumba cha Kompyuta katika Skuli ya Sekondari ya Kwarara iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambayo imejengwa na Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akifuatana na Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Lazaro Ndalichako (katikati) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali (kulia) wakati alipotembea katika madarasa mbali mbali ya Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari ,iliyoizindua rasmi leo, iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipanda mti aina ya muembe baada ya kuizindua Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari,aliyoizindua rasmi leo ,Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ujenzi wa Skuli hiyo umefadhiliwa na Serikali ya Mapinduzi na Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA)[Picha na Ikulu.] 11/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Korea Kusini Bw.Song Geumyoung wakati wa sherehe za uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari,uliofanyika leo Skulini hapo,Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ambapo ujenzi wake umejengwa kwa Ushirikiano wa Serikali na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA), [Picha na Ikulu.] 11/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari,aliyoizindua rasmi leo ,Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ujenzi wa Skuli hiyo umejengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA)[Picha na Ikulu.] 11/01/2017.
Post a Comment