DIWANI KIJICHI AKABIDHIWA CHET CHA USHINDI, A AHIDI KUCHAPAKAZI.
Na John Luhende
mwambawahabari
Diwani mteule wa kataya kijichi Mhe. Tausi Milanzi amepokea cheti cha ushindi kutoka tume ya taifa ya uchaguzi NEC baada yakushinda uchaguzi ulifanyika jumalililo pita bkatika katahiyo.
Akizungumza katika hafla hiyo fupi mheshimiwa Milanzi ame ushindi huo ni wawanakijichi wote kwa ni bilaushirikiano wao kwa kumpigia kura asinge pata cheti hicho .
Amesema sasa yuko tayari kuchapa kazi na kuleta maendeleo kwa wananchi wake ambao wali kosa uwakilishi wa Diwani kwa muda mrefu baada ya kuondokewa na diwani aliye chaguliwa katika uchaguzi wa 2015.
Nao badhi ya wanachi walifika kushuhudia tukio hilo wamempongeza Diwani huyo na kusema kuwa wanaimani kubwa kuwa ataletamaendeleo ,kutokana na sera ya chama chake kuanzia juu kwa kauli mbiu ya Rais Magufuli ya Hapakazi tu naye ataendana na kasi hiyo hiyo.


Post a Comment