Ads

TRL KUFANYA UKARABATI WA RELI JANUARI 2017

mwambawahabari
Shirika la Reli Tanzania (TRL), limetangaza kuanza   ukarabati wa njia ya reli itokayo Dar es Salaam kwenda pugu, yanayotarajia kuanza Jumatatu ijayo.

Akizungumza na wandishi wahabari Jijini Naibu Mkurugenzi wa uendeshaji Focus Sahani amesema kufuatia ukarabati huo, TRL imebadilisha ratiba ya safari za train kutoka nne  na sasa zitakuwa mbili  kama ilivyokuwa  hapo awali.

‘’Kwa sasa safari itakuwa ya asubihi saa 12  mwisho saa 8 mchana baada ya hapohili ambao  treni itapisha matengenezo .


Sahani amesema kuwa , ukarabati huo unatarajiwa  kugharimu Sh. Billioni 7,  na unalenga kuimarisha njia hiyo eneo hilo ambalo linapitisha treni nyingi kwa siku kuliko ilivyozoeleka.

Image result for picha za reli ya trl


No comments