TRA YASHINDA TUZO YA UTUNZAJI BORA WA MAHESABU KWA TAASISI ZA UMMA
Mwambawahabari
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Fedha (TRA) Bi.Anna Mndeme kulia akipokea tuzo ya utunzaji bora wa mahesabu kwa taasisi za umma kutoka kwa mwakilishi wa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bw.Shogolo Msangi katikati wakati wa sherehe za kukabidhi tuzo hizo kwa wawasilishaji bora wa mapato kwa mwaka 2015 yaliyofanyika nje kidogo ya jiji la Dar es salaam na kushoto ni Mwenyekiti wa NBAA Prof.Isaya Jairo.
MAMLAKA yaMapato Tanzania (TRA) imeshindatuzoyautunzaji bora wamahesabukwataasisizaummazilizoandaliwanaBodiyaUkaguzinaWahasibu (NBAA) kwamwaka 2015.
AkipokeatuzohiyoNaibuMkurugenziwaIdarayaFedha (TRA) Bi. Anna MndemeamesemakuwawamepatatuzohiyokutokananakuwasilishavizurimahesabuyamwakawafedhayaliyowasilishwakufuatananaviwangovyauwasilishwajivinavyozingatiwanaBodiyaUkaguzinaWahasibu (NBAA).
“Tumefanyavizurinatumepatatuzokwakushikanafasiya kwanza kutokananakuwasilishavizurimahesabuyamwakawafedhayaliyowasilishwakufuatananaviwangovyauwasilishwajivinavyozingatiwanaBodiyaUkaguzinaWahasibu (NBAA)” alisema Bi. Mndeme.
Aidha Bi. Mndemeamesemakuwatuzohiyonichachukwa TRA itayofanyawaendeleekujitumazaidikatikaukusanyajinautunzajiwamapatoilikusaidianchikupatahuduma bora zajamiikwamaendeleoyataifa.
Kwaupande wake MkurugenziwaHudumanaElimukwaMlipakodi TRA Bw. Richard KayomboamesemakuwahuoniuthibitishokwambaTRA inafanyakazikwaueledinauwazikupelekeakupatatuzoyaheshima.
KatikamashindanohayoShirika la Utangazaji la Taifa (TBC) wameibukawashindiwapilihukukampuniinayotengenezaSementi (Tanga Cement Plc) wakiibukakuwawashindiwajumlakwenyetuzohizo .

Post a Comment