Sheikh Ponda amtembelea Lema gerezani,wateta kwa saa mmoja.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Noel Olevaroya, Sheikh Ponda alizungumza na Lema kwa muda usiopungua saa moja.
“Sheikh Ponda amekutana na mbunge wetu Lema na amekuja mahususi kumjulia hali, amemuambia hampi pole bali anampongeza kwa kukaa mahabusu muda wote licha ya kuamini anastahili kupata dhamana,” alisema Olevaroya.
Post a Comment