HABARIPICHA ;MADALALI WA BIMA TANZANIA WAELIMISHA JJUU YA KODI
wambawahabari
Mwenyekiti wa Chama cha Madalali wa Bima Tanzania Mohamed Jaffer akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam baada ya semina ya siku moja ya madalali wa Bima na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliyolenga kuwaelimisha kuhusu Kodi ya Ongezeko la Thamani(VAT) kwa sekta za Bima.
Meneja wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Diana Masalla akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya semina ya siku moja ya madalali wa Bima iliyolenga kuwaelimisha kuhusu Kodi ya Ongezeko la Thamani(VAT) katika Bima.
George Haule akiwalisha mada kuhusu kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa madalali wa sekta ya Bima wakati wa semina ya siku moja ya madalali wa Bima iliyolenga kuwaelimisha kuhusu Kodi ya Ongezeko la Thamani(VAT) katika Bima.
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo kuhusu Kodi ya Ongezeko la Thamani(VAT) kwenye sekta ya Bima wakati wa semina ya siku kwa madalali wa Bima iliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Post a Comment