MSAADA WA VITANDA
mwambawahabari
Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea Masada wa vitanda 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron wa tatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo, magodoro 50 na vyandarua 100.
Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea Masada wa Vyandarua 100 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron wa tatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo, magodoro 50 na vitanda 50.
Post a Comment