Ads

MATUKIO KATIKA PICHA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MHE. SAMWEL SITTA KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

mwambawahabari
Displaying 1.jpg


Displaying 1b.jpg

1-Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta Ukiwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya utoaji wa heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.


Displaying 5.jpg
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya utoaji wa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.

Displaying 6.jpg

Displaying 6b.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya utoaji wa heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko, pembeni ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.

Displaying 7.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli(Katikati), Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan(Mwenye shungi) Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa (wa mwisho kushoto) na Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif alli Idd (wa mwisho kulia) wakifuatilia idaba ya kuuaga Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta katika viwanja vya Karimjee kwa ajili.

Displaying 8.jpg

Displaying 9.jpg
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta ukiwa katika eneo maalum mbele ya waombolezaji kwa ajili ya kufanyiwa idaba na tukio la utoaji heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.

Displaying 10.jpg
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi Mhe. Angela Kairuki akitoa salamu za serikali wakati wa shughuli ya utoaji heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.

Displaying 11.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwaeleza jambo Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif alli Idd(katikati) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Displaying 12.jpg

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.

Displaying 13.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisalimiana na waombolezaji wakati wa shughuli za utoaji heshima kwa Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta.

Displaying 14.jpg


Displaying 16.jpg

Displaying 17.jpg


Displaying 18.jpg
Baadhi ya Viongozi wa Serikali na Viongozi wastaafu wakiwapa pole ndugu na waombolezaji wakati wa shughuli za utoaji heshima kwa Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta.

PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

No comments