Ads

DKT. ALBINA CHUWA AFUNGUA KIKAO KAZI KUJADILI NJIA BORA ZA KULISAIDIA BARA LA AFRIKA KATIKA UTOAJI BORA WA TAKWIMU

Mwambawahabari


Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa akifungua Kikao Kazi kilichowakutanisha Wataalam wa masuala ya takwimu ambao ni Wawakilishi kutoka nchi 24 Barani Afrika kujadili juu ya njia bora na mahususi katika kulisaidia Bara la Afrika katika utoaji bora wa takwimu.


Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa pamoja na Wataalam wa masuala ya takwimu ambao ni Wawakilishi kutoka nchi 24 Barani Afrika wakijadiliana masuala muhimu kuhusu namna bora ya kulisaidia Bara la Afrika katika utoaji bora wa takwimu.


Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (aliyevaa gauni jekundu) pamoja na Wataalam wa masuala ya takwimu ambao ni Wawakilishi kutoka nchi 24 Barani Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa Kikao Kazi kuhusu namna bora ya kulisaidia Bara la Afrika katika utoaji bora wa takwimu.

Picha zote na na Benedict LIWENGA-WHUSM.

No comments