Ads

MSEMAJI WA SERIKALI: TUTAIMARISHA UHUSIANO NA USHIRIKIANO NA VYOMBO VYA HABARI NCHINI

Displaying 1..JPG


Mhariri Mkuu wa kituo cha redio cha EFM Radio cha Jijini Dar es Salaam, Scholastica Mazula akisalimiana na Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas wakati wa ziara yake ya kutembelea ofisi za kituo hicho leo Jijini humo kwa ajili ya kubadilishana  mawazo na uzoefu wa kazi.

Displaying 2..JPG

Mhariri Mkuu wa kituo cha redio cha EFM Radio cha Jijini Dar es Salaam, Scholastica Mazula akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas wakati wa ziara yake ya kutembelea ofisi za redio hiyo leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kubadilishana mawazo na uzoefu wa kazi. Kulia ni Mtangazaji wa redio hiyo, Boneventure Kilosa.
Displaying 3..JPG

Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas akiwa katika picha ya pamoja na Mtangazaji wa kipindi cha michezo cha redio ya EFM, Ibrahim Masoud “Maestro”  wakati wa ziara yake ya kutembelea ofisi za kituo hicho leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kubadilishana mawazo na uzoefu wa kazi.

Displaying 4..JPG

Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas (mwenye suti) akiwa katika picha ya pamoja na Mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni kinachorushwa hewani na kituo cha  redio ya EFM,  Silvester Mjuni   (kushoto) wakati wa ziara yake ya kutembelea ofisi za kituo hicho leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kubadilishana mawazo na uzoefu wa kazi. Wengine kushoto ni Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari Jonas Kamaleki na Afisa Habari Beatrice Lyimo.

Displaying 5..JPG


Mtangazaji wa kipindi cha UBAONI kinachorushwa hewani na kituo cha redio cha cha EFM cha Jijini Dar es Salaam, Silvester Mjuni (katikati) akiendesha mahojiano maalum ya kipindi hicho na Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas (kushoto) wakati wa ziara yake ya kutembelea ofisi za kituo hicho kwa ajili ya kubadilishana mawazo na uzoefu wa kazi. Kulia ni Afisa Habari(MAELEZO),  Jonas Kamaleki.
Displaying 6..JPG

Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas akizungumza katika mahojiano maalum ya kipindi cha cha UBAONI kinachorushwa hewani na kituo cha redio cha EFM redio cha Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Jonas Kamaleki.

(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA -MAELEZO)

No comments