Waziri Ummy azipongeza UNFPA na Marie Stopes kwa kuwajali wasichana
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo.Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt. Florence Mwanri akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake
Binti mwanafunzi wa Kidato cha Pili Shule ya Sekondari Jangwani Necta Richard akisoma taarifa fupi juu ya ziara ya wanafunzi wapatao 150 kutoka Klabu za vijana wa Kiwohede, Restless Develeopment ambao walifanya ziara kutembelea Taasisi za Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM), Muhimbili, na ITV kwa lengo la kujifunza. Ziara hiyoimefanyika kwa Msaada wa UNFPA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na Mwakilishui Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo.Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akifuatilia kwa makini maelezo kuhusu Takwimu za Idadi ya wasichana wanaopata mimba za utotoni kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (mwenye nguo nyekundu) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akifuatilia kwa makini maelezo kuhusu Takwimu za Idadi ya wasichana wanaopata mimba za utotoni kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (mwenye nguo nyekundu) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake
Mrasimu Ramani Mwandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Benedict Mugambi akimuelezea Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu maeneo ambayo yameathiriwa zaidi na mimba za utotoni katika mikoa ya Tanzania Bara leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu.Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem wakionyesha bango lenye ujumbe mahususi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiangalia bango lenye ujumbe mahususi alipotembelea banda la UNFPA wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake.Kushoto ni na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem.
Meneja Mahusiano wa Marie Stopes Tanzania Bi. Symphrose Makungu (mwenye tisheti ya bluu) akielezea jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea banda lao wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiangalia Jarida maalumu lenye kauli mbalimbali kutoka kwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Afya ya Uzazi wa Mpango waalipotembelea banda la Marie Stopes Tanzania leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Watu duniani. Aliyemshikia Jarida hilo ni Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Marie Stopes Tanzania Dkt. Joseph Komwihangiro na Kulia ni Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bi. Symphrose Makungu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiangalia Jarida kuhusu ukatili wa Kijinsia alipotembelea banda la Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Watu duniani.
Kikundi cha Vijana Kiwohede kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (mwenye kilemba katikati)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasichana kutoka shule mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Watu duniani leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija, MAELEZO:
Post a Comment