Vyuo vikuu vyatakiwa kuunga mkono Serikali katika kujenga Tanzania ya Viwanda
Picha zote Na Ally Daud-Maelezo
Waziri wa Elimu , Sayansi , teknolojia na mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako akiongea na wadau kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali nchini hawapo pichani hiko wakati wa ufunguzi wa wa maonesho ya 11 ya elimu ya juu , sayansi na teknolojia leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Elimu , Sayansi , teknolojia na mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako wa kwanza kulia akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Chuo Kikuu Ardhi wakati wa ufunguzi wa maonesho ya 11 ya elimu ya juu , sayansi na teknolojia leo jijini Dar es salaam na wa pili kulia ni ni Katibu Mtendaji (TCU) Prof. Eleuther Mwageni.
Waziri wa Elimu , Sayansi , teknolojia na mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako wa kwanza kulia akipokea maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Chuo Kikuu Agakhan Prof.Joe Lugalla wa kwanza kushoto alipotembelea banda la chuo hiko wakati wa ufunguzi wa maonesho ya 11 ya elimu ya juu , sayansi na teknolojia leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Elimu , Sayansi , teknolojia na mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako wa kwanza kushoto akipokea maelekezo na kupakwa mafuta kutoka kwa Mdhamiri wa Chuo Kikuu Zanzibar Bw.Omar Kassim kwanza kulia alipotembelea banda la chuo hiko wakati wa ufunguzi wa maonesho ya 11 ya elimu ya juu , sayansi na teknolojia leo jijini Dar es salaam.
Post a Comment