Ads

Serikali na British Council Tanzania zashirikiana kuwapiga msasa Mashirikisho ya Sanaa kuhusu Fursa ya Sanaa kwa Wasanii wa Afrika Mashariki

mwambawahabariblog

Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Maendeleo ya Sanaa, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Leha Kihimbi akiwasisitizia baadhi ya Viongozi wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania pamoja na Wadau wa masuala ya Sanaa kuhusu umuhimu wa Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na Taasisi hiyo, 19 Julai, 2016 jjijini Dar es Salaam.



Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania, Bi. Nesia Mahenge akiwaelekeza baadhi ya Viongozi wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania pamoja na Wadau wa masuala ya Sanaa kuhusu Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na Taasisi hiyo, 19 Julai, 2016 jjijini Dar es Salaam.

(Picha/Habari na Benedict Liwenga-WHUSM)

No comments