Ads

PPRA YAZIONYA TAASISI ZA UMMA ZILIZO CHELEWESHA TAARIFA ZA MANUNUZI



N; John Luhende 
 mwambawahabari
Mamlaka ya udhibi wa manunuzi ya uma   (PPRA) imezitaka taasisi za serikali  ambazo hazija wasilisha  taarifa ya mipango yake ya  manunuzi ya mwaka wa  fedha  2016/17 kuwasilisha maramoja  kwa kuwa kuchelewesha taarifa  hizo ni kinyume cha sheria  ya manunuzi ya mwaka 2001  kifungu  cha 104 (c).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam  mtendaji mkuu wa mamlaka hiyo Dr Laurent Shirima amesema hatua  hiyo imekuja baada ya taassi nyingi za serikali kutowasilisha taarifa zao ndani ya muda wa kawaida kisheria kupita  ameongeza kuwa taarfa hizo zilitakiwa kuwahishwa ili zichapishwe katika jarida la PPRA  pamoja na  kwenye tovuti  ili kuiwezesha mamlaka hiyo kutekeleza  kazi zake za usimamizi wa manuuzi ya umma.



Adha shirima amesema  tangu mwaka wafedha umeanzan mnamo tarehe 1july /2016 nitaasisi 145  kat ya  taasisi  506  pekee ndizo zi mewasilisha  taarifa  zake  na ametaja kuwa hatua hiyo ya  ucheleweshaji  ina imecha ngia kwa kiasi kikubwa kutofikiwa kwa malengo ya  mamlaka hiyo pamoja na kwamba  wakuu wa manunu zi  wa  idara hizo wamepewa taarifa mapema.

No comments