Ads

LHRC YAZINDUA RIPORT YA BIASHARA NA HAKI ZA BINADAMU




Na ;John Luhende
 mwambawahabari
Imebainishwa kuwa zaidi ya watoto  million tano  wenyenye  umri chini ya miaka 18  ambao ni sawa na asilimia  84  wamebainika  kufanyishawa kazi  katika  setor tofaut  maeneo mbalimbali hapa nchini  ikiwemo maeneo ya  mashambani.

Hayo yamebainishwa na mwana sheria wa( LHRC)  Clarence Kipobota  wakati akiwasilisha   taarifa  ya biashara na hakiza binadamu  iliyo andaliwa nan a kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) iliyo zinduliwa leo jijini Dar es salaam  ambapo asilimia  60 ya wafanya kazi waliofikiwa na waandaaji  wa taarifa hiyo wamebainika kufanya kazi bila mikataba rasimi   na wengine kuwa na mikataba  mibovu  ikiwemo  sector ya uchukuzi na sector ya habari.





Akizungumza  mara baada ya kupokea taarifa hiyo mkurugezi wa  wa wizara ya viwanda , biashara na uwekezaji bw Alfred Mapunda  amesema  serikali  ina tambua changamoto zilizopo na ina endelea kuhimiza wahusika  kushirikiana na serikali ku ili kuweza kuzimaliza  changamoto hizo  kuhimiza makundi ya wafanya kazi wasiokuwa na vyama  vya wafanya kazi kuunda vya ma ili kutetea maslahi  yao.

Pamoja na hayo mkurugenzi wa  kituo cha sheria na haki za binadamu bi Hellen Kijo Bisimba  ameielzea taarifa hiyo kuwa imejikita  katika mambo mengi muhimu ikiwemo Aridhi ambapo wanachi wengi ardhi yao imekuwa ikitwaliwa na wawekezaji bila kulipwa fidia na kuangukia katika migogoro ,ukatili wa kijinsia ,masuala ya ukusanyaji kodi na misamaha mingi kwa wawekezaji  


No comments