Ads

HUDUMA YA UKATAJI TICKET ZA MABASI YAENDAYO MIKOANI KWA NJIA YA SIMU YA KIGANJANI YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Na John Luhende 
mwambawahabari


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki inayotolewa na kampuni ya Global Light company mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 



Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo inayotoa huduma ya Global Light Company Bw. Raymond Magambo.


Baadhi ya wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi wakimsikiliza mgeni rasmi katika hafra ya uzinduzi wa njia mpya ya ukataji ticket inayojulikana  kwa jina la ticket rafiki 
Baadhi ya wageni walikwa waliokuja kushuhudia uzinduzi wa Huduma hiyo wakifueahia  Mara baada ya naibu waziri kukata utepe kuashiria huduma kuzinduliwa.


No comments