MASIKINI GARDINER AZIDI KUJIKANYAGA KUHUSU UHUSIANO WA KIMAPENZI NA NA GIGGY MONEY,ARUKA MAJIVU AKANYAGA MOTO, GGIGY ASISITIZA NI MIEZI SITA SASA TANGU WAANZANE
Mwambawahabariblog
Muuza sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda wa miezi sita.
Gigy mefunguka haya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kwenye mapozi ya kimahaba na Gardner kusambaa kwenye mitandao ya kijamii. Giggy alisema mtangazaji huyo amekuwa mtu wa muhimu kwake kwa sasa.
“Kwani kuna tatizo nikiwa na Gardner? Yule ni mtu muelewa na sahihi kwangu, ninafikiri kupitia yeye nitajifunza mambo mengi na kuzidi kufanikiwa kwa sababu yeye ni moja kati ya watu ambao wako kwenye tasnia ya burudani kwa muda mrefu,” alisema Giggy Money.
Gardner alipotafutwa ili aweze kueleza kuhusu ishu hii alisema:
Post a Comment