Uongozi wa Yanga SC chini ya mwenyekiti wake Dkt. Mshindo Msolla umeunda kamati mpya ya mashindano yenye wajumbe 22 ikiongozwa na Rodgers Gumbo ambaye anaendelea kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo akisaidiwa na Hamad Islam.
Post a Comment