Ads

WAFANYABIASHARA WADANGANYIFU KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.


NA DITHA NYONI RUVUMA 



Mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI CHRISTINA MNDEME amewataka wafanyabiashara katika mkoa wa huo kuhakikisha wanatumia vyema mashine ya kutolea risiti EFD kwa ajili kuongeza mapatao na kuweza kuwa baini wafanyabiashara wanaoiibia serikali mapato
hayo ameyasema wakati akizungumza na wafanya biashara wa manispaa ya songea. 


No comments