Ads

TAZAMA :Matukio katika Picha DC Mjema Atembelea shule za Sekondari Jangwani na Azania Dar es Salaam

Dc wa Ilala Sophia Mjema (kushoto) Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari Jangwani Geraldine Mwanisenga wakiwa katika Ziara ya kukagua maendeleo ya  ukarabati unaofanyika katika shule hiyo. 
Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Sophia Mjema akizungumza jambo wakati alipotembelea shule ya Sekondari Jagwani. 


Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari  Jangwani Geraldine Mwanisenga akisoma ripoti ya maendeleo ya ukarabati ulivyokwenda na unavyoendelea katika shule hiyo. 
Mhe. Mjema akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Jangwani, na kuaasa wasome kwa kuangalia malengo waliojiwekea na kukataa mimba za utotoni zenye kukatisha ndoto zao. 



Baadhi ya Majengo yaliokarabatiwa yakiwemo Mabweni, vyoo, na vyumba vya madarasa. 

Dc Mjema akizungumza na baadhi ya Wafanzi wa A-level na O-level katika shule ya Sekonadari Azania iliyopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. 
Mhe.Mjema akisalimiana na Makamu Rais wa wanafunzi katika shule ya Azania God love Kapufi(kushoto)



Katika Picha DC Mjema akizungumza jambo na mmoja wa Wanafunzi hao. 
Picha ya pamoja baada ya kukagua maendeleo ya Ukarabati wa Majengo katika shule ya Azania na Jangwani katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. 

No comments