SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UJUMBE WA WABUNGE KUTOKA MAREKANI NA SWEDEN
mwambawahabariblog
Spika wa
Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani (Congress)
waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Febuari, 2016.
1. Spika wa
Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani (Congress) waliomtembelea
leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam
1. Spika wa
Bunge akiagana na Ujumbe wa Wabunge wa
Bunge la Sweden mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es
salaam.
1. Spika wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Sweden waliokuja kumtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam pamoja na Viongozi wengine Wabunge
1. Spika wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Sweden waliokuja kumtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam pamoja na Viongozi wengine Wabunge.
1. Naibu Spika
wa Bunge Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Bi Katarina Rangnitt aliyeongozana na Wabunge
kutoka Bunge la Sweden waliotembelea Ofisi za Bunge Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Post a Comment